كتاب HII NDIYO ITIKADI YETUكتب إسلامية

كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU

Itikadi Yetu, Sifa Ya Kusema, Sifa Ya Kuwepo Kwake Juu 'Al- Uluw, Allah Anayo 'Arsh, Sifa Ya Kushuka, Sifa Ya Iraada (Atakavyo Allah), Sifa Ya Kupenda, Wajihi Wa Allah, Mikono, Macho, Tanbihi, Malaika, Vitabu, Mitume, Dini Ya Allah, Makhalifa Waongofu, Siku Ya Mwisho, Shafa’ah, Hodhi Na Swiraat, Pepo Na Moto, Maswali Ya Kaburini, Adhabu Ya Kaburini, Qadar, Kutakal Kwa Allah, Baadhi Ya Faida, Matunda Ya Kuamini Malaika, Matunda Ya Kuviamini Vitabu, Matunda Ya Kuamini Mitume, Matunda Ya Kuiamini Siku Ya, Qiyama, Matunda Ya Kuamini Qadar. UTANGULIZI Shukrani zote ni zake Mola wa ulimwengu wote, na mwisho mwema nikwawamchao Allah, na hapana uadui isipokuwa kwa madhalimu. Nashuhudia kuwa hapana anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah Peke yake Asiye na mshirika Mwenye Ufalme na haki iliyo wazi. Na nashuhudia kuwa Muhammad (s.a.w) ni mjumbe wake na Mtume wake nawa mwisho wa wajumbe wake na ni kiongozi wa wacha Mungu. Mola wetu mswalie na msalimie Mtume wako huyu pamoja na Masahaba wake na kila atakayemfuata kwa wema na uongofu mpaka Siku ya Qiyama. Amma baad. Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ HIJABU ❝ ❞ HII NDIYO ITIKADI YETU ❝ ❞ HUKUMU ZA TWAHARA ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

وصف الكتاب : Itikadi Yetu, Sifa Ya Kusema, Sifa Ya Kuwepo Kwake Juu 'Al-
Uluw, Allah Anayo 'Arsh, Sifa Ya Kushuka, Sifa Ya Iraada

(Atakavyo Allah), Sifa Ya Kupenda, Wajihi Wa Allah, Mikono,
Macho, Tanbihi, Malaika, Vitabu, Mitume, Dini Ya Allah,
Makhalifa Waongofu, Siku Ya Mwisho, Shafa’ah, Hodhi Na
Swiraat, Pepo Na Moto, Maswali Ya Kaburini, Adhabu Ya
Kaburini, Qadar, Kutakal Kwa Allah, Baadhi Ya Faida,
Matunda Ya Kuamini Malaika, Matunda Ya Kuviamini Vitabu,
Matunda Ya Kuamini Mitume, Matunda Ya Kuiamini Siku Ya,
Qiyama, Matunda Ya Kuamini Qadar.

UTANGULIZI

Shukrani zote ni zake Mola wa ulimwengu wote, na mwisho
mwema nikwawamchao Allah, na hapana uadui isipokuwa kwa
madhalimu.
Nashuhudia kuwa hapana anayestahiki kuabudiwa isipokuwa
Allah Peke yake Asiye na mshirika Mwenye Ufalme na haki
iliyo wazi. Na nashuhudia kuwa Muhammad (s.a.w) ni mjumbe
wake na Mtume wake nawa mwisho wa wajumbe wake na ni
kiongozi wa wacha Mungu. Mola wetu mswalie na msalimie
Mtume wako huyu pamoja na Masahaba wake na kila
atakayemfuata kwa wema na uongofu mpaka Siku ya Qiyama.
Amma baad.



Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.

للكاتب/المؤلف : Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen .
دار النشر : .
عدد مرات التحميل : 7427 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الأربعاء , 27 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 718.8 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

Itikadi Yetu, Sifa Ya Kusema, Sifa Ya Kuwepo Kwake Juu 'Al-
Uluw, Allah Anayo 'Arsh, Sifa Ya Kushuka, Sifa Ya Iraada

(Atakavyo Allah), Sifa Ya Kupenda, Wajihi Wa Allah, Mikono,
Macho, Tanbihi, Malaika, Vitabu, Mitume, Dini Ya Allah,
Makhalifa Waongofu, Siku Ya Mwisho, Shafa’ah, Hodhi Na
Swiraat, Pepo Na Moto, Maswali Ya Kaburini, Adhabu Ya
Kaburini, Qadar, Kutakal Kwa Allah, Baadhi Ya Faida,
Matunda Ya Kuamini Malaika, Matunda Ya Kuviamini Vitabu,
Matunda Ya Kuamini Mitume, Matunda Ya Kuiamini Siku Ya,
Qiyama, Matunda Ya Kuamini Qadar.

UTANGULIZI

Shukrani zote ni zake Mola wa ulimwengu wote, na mwisho
mwema nikwawamchao Allah, na hapana uadui isipokuwa kwa
madhalimu.
Nashuhudia kuwa hapana anayestahiki kuabudiwa isipokuwa
Allah Peke yake Asiye na mshirika Mwenye Ufalme na haki
iliyo wazi. Na nashuhudia kuwa Muhammad (s.a.w) ni mjumbe
wake na Mtume wake nawa mwisho wa wajumbe wake na ni
kiongozi wa wacha Mungu. Mola wetu mswalie na msalimie
Mtume wako huyu pamoja na Masahaba wake na kila
atakayemfuata kwa wema na uongofu mpaka Siku ya Qiyama.
Amma baad.

 

Hakika Allah Amemtuma Mtume wake Muhammad (s.a.w) awe
dalili iliyo wazi juu ya waja wake, naawabainishie yale
aliyoteremshiwa katika Kitabu, na awe mfano mwema wa
kuigwa na walimwengu wote, na ili watu wapate kuwa na
muongozo mwema katika dini yao na dunia yao.
Ametumwa kutufundisha itikadi sahihi pamoja na hekima kwa
ajili ya kutengenea hali ya umati wake, na pia kuwaweka juu ya
njia safi na sahihi, ili watu wawe juu ya kitanga cheupe, mchana
wake sawa na usiku wake, na asiende kinyume na njia hiyo
isipokuwa mpotofu.
Wakaifuata njia hiyo Maswahaba wake (r.a) na wale waliokuja
baada yao na walio wafuatilia kwa wema, Wakaisimamisha
sharia ya Allah na kuyakamata vizuri mafundisho hayo kwa
magego yao kwa kuifuata itikadi hii iliyo sahihi, na ibada na
mwenendo na tabia. Na sisi Alhamdulillah tunaendelea kuufuata
mwenendo wao huo kwa kufuata dalili zilizomo ndani ya
Qur'ani na zilizomo ndani ya mafundisho yake (s.a.w), na
tunamuomba Allah Atuthibitishe juu ya njia hiyo sisi na ndugu
zetu wote wa Kiislamu kwa kauli iliyo thabiti katika maisha ya
duniani na ya Akhera na atumiminie rehma Zake kwani yeye ni
Mwenye kutoa kwa wingi.
Kutokana na umuhimu wa maudhui hii, na kutokana na tofauti
iliyokuja baadaye, baada ya kuingizwa matamanio ya watu
ndani ya itikadi hii, nilipenda kuiandika iwe kama ndiyo itikadi
yetu. Itikadi ya Ahlus Sunnah wal Jama’ah, nayo ni imani ya
kuwepo kwa Allah na Malaika Wake na vitabu Vyake na
Mitume wake na Siku ya Qiyama na Qadar (qudra) kheri yake
na shari yake.
Namuomba Allah Aijaalie kazi hii iwe halisi kwa ajili yake,
Aridhike nayo na iwe funzo kwa waja Wake.

 Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.



نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل HII NDIYO ITIKADI YETU
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen
SHAYKH MUHAMMAD IBN SWALEH AL UTHAYMEEN
❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ HIJABU ❝ ❞ HII NDIYO ITIKADI YETU ❝ ❞ HUKUMU ZA TWAHARA ❝ ❱.



كتب اخرى في كتب إسلامية باللغة السواحلية

HIJABU PDF

قراءة و تحميل كتاب HIJABU PDF مجانا

AQIDATUL WASITWYYAH PDF

قراءة و تحميل كتاب AQIDATUL WASITWYYAH PDF مجانا

MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU PDF

قراءة و تحميل كتاب MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU PDF مجانا

Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF

قراءة و تحميل كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF مجانا

SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF

قراءة و تحميل كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF مجانا

KUFICHUA YENYE UTATA PDF

قراءة و تحميل كتاب KUFICHUA YENYE UTATA PDF مجانا

BID acute AH ZA JENEZA PDF

قراءة و تحميل كتاب BID acute AH ZA JENEZA PDF مجانا

RIBAA PDF

قراءة و تحميل كتاب RIBAA PDF مجانا

المزيد من كتب علوم القرآن في مكتبة كتب علوم القرآن , المزيد من كتب إسلامية متنوعة في مكتبة كتب إسلامية متنوعة , المزيد من إسلامية متنوعة في مكتبة إسلامية متنوعة , المزيد من كتب الفقه العام في مكتبة كتب الفقه العام , المزيد من كتب التوحيد والعقيدة في مكتبة كتب التوحيد والعقيدة , المزيد من مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف في مكتبة مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف , المزيد من كتب أصول الفقه وقواعده في مكتبة كتب أصول الفقه وقواعده , المزيد من التراجم والأعلام في مكتبة التراجم والأعلام , المزيد من السنة النبوية الشريفة في مكتبة السنة النبوية الشريفة
عرض كل كتب إسلامية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..