كتاب MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMUكتب إسلامية

كتاب MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU

Kila sifa njema ni zake Mwenyezi Mungu Mola wa viumbe vyote, sala na amani ziwe juu ya Imamu wa Mitume, Nabii wetu Muhammad, na jamaa zake, na Masahaba wake wote. Ama baada:_ UISLAMU:_ ni kushuhudia kuwa hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu mmoja, na Muhammad (rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu, (kushuhudia) kwa moyo, na kwa ulimi, na kwa viungo. Na (huo Uislamu) unajumuisha kuamini nguzo sita za Imani kwa kutekeleza nguzo tano za Uislamu, na nguzo mbili za Ihsani. Na (huo Uislamu) ni risala ya mwisho miongoni mwa risala za Mwenyezi Mungu, ambayo ameiteremsha Mwenyewe Allah kwa mwisho wa manabii wake na mitume wake, Mtume Muhammad bin Abdillah (rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake). Na (huo Uislamu) ndiyo dini ya haki ambayo Mwenyezi Mungu hatakubali dini nyingine isiyokuwa uislamu, na hakika ameifanya Mwenyezi Mungu dini ya uislamu kuwa nyepesi na rahisi, hakuna ugumu au uzito ndani yake, wala tabu, hakuwalazimisha (Allah) wenye kuingia ndani ya dini hiyo mambo wasiyo yaweza, na wala hakuwakalifisha kwa yale wasiyoweza. Na ni dini ambayo msingi wake ni TAUHID (kumpwekesha Mwenyezi Mungu katika ibada), na alama yake ni ukweli, na imezungukwa na uadilifu, na ndiyo usimamizi wa haki, na roho yake (dini hii) ni huruma, na ni dini tukufu ambayo huwaongoza waja (watu) kwenye kila jambo lenye manufaa katika dini yao na dunia yao, na huwatahadharisha kutokana na kila lenye madhara katika dini yao na maisha yao, Na ni dini ambayo Mwenyezi Mungu amerekebisha kwayo itikadi na tabia, na akarekebisha kwayo maisha ya duniani na Akhera, na akaziunganisha kwayo nyoyo zilizo tafautiana, na matamanio mbali mbali, akazisafisha kutokana na sifa za upotofu, na akazielekeza kwenye haki, na akaziongoza kwenye njia iliyo nyooka. Na ni dini iliyo sawa iliyo kamilika isiyokuwa na kasoro katika habari zake zote, na hukumu zake zote, haikuelezea ila ukweli na haki, na wala haikuhukumu ila kwa kheri na uadilifu, miongoni mwa itikadi sahihi, na vitendo vilivyo sawa, na tabia bora, na desturi za hali ya juu. Na ujumbe wa Uislamu unalengo la kutimiza mambo yafuatayo: ~ Kuwajulisha watu mola wao na muumba wao kwa majina yake mazuri ambayo hakuna mwenye majina hayo isipokuwa yeye tu, na sifa zake za hali ya juu ambazo hakuna mwenye kufanana nae katika sifa hizo, na vitendo vyake vya hekima ambavyo hana mshirika kwenye vitendo hivyo, na kustahiki kwake (majina hayo, na sifa hzo, na vitendo hivyo) ambako hana mshirika ndani yake.
قسم البحوث التربوية في جامعة الإسلام - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

وصف الكتاب : Kila sifa njema ni zake Mwenyezi
Mungu Mola wa viumbe vyote, sala na
amani ziwe juu ya Imamu wa Mitume,
Nabii wetu Muhammad, na jamaa zake,
na Masahaba wake wote.
Ama baada:_
UISLAMU:_ ni kushuhudia kuwa
hapana Mola apasae kuabudiwa kwa
haki ila Mwenyezi Mungu mmoja, na
Muhammad (rehema na amani za
Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) ni
mjumbe wa Mwenyezi Mungu,
(kushuhudia) kwa moyo, na kwa ulimi,
na kwa viungo.




Na (huo Uislamu) unajumuisha
kuamini nguzo sita za Imani kwa
kutekeleza nguzo tano za Uislamu, na
nguzo mbili za Ihsani.
Na (huo Uislamu) ni risala ya mwisho
miongoni mwa risala za Mwenyezi
Mungu, ambayo ameiteremsha
Mwenyewe Allah kwa mwisho wa
manabii wake na mitume wake, Mtume
Muhammad bin Abdillah (rehema na
amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu
yake).
Na (huo Uislamu) ndiyo dini ya haki
ambayo Mwenyezi Mungu hatakubali
dini nyingine isiyokuwa uislamu, na
hakika ameifanya Mwenyezi Mungu dini
ya uislamu kuwa nyepesi na rahisi,
hakuna ugumu au uzito ndani yake, wala
tabu, hakuwalazimisha (Allah) wenye
kuingia ndani ya dini hiyo mambo
wasiyo yaweza, na wala hakuwakalifisha
kwa yale wasiyoweza.



Na ni dini ambayo msingi wake ni
TAUHID (kumpwekesha Mwenyezi
Mungu katika ibada), na alama yake ni
ukweli, na imezungukwa na uadilifu, na
ndiyo usimamizi wa haki, na roho yake
(dini hii) ni huruma, na ni dini tukufu
ambayo huwaongoza waja (watu)
kwenye kila jambo lenye manufaa katika
dini yao na dunia yao, na
huwatahadharisha kutokana na kila lenye
madhara katika dini yao na maisha yao,
Na ni dini ambayo Mwenyezi Mungu
amerekebisha kwayo itikadi na tabia, na
akarekebisha kwayo maisha ya duniani
na Akhera, na akaziunganisha kwayo
nyoyo zilizo tafautiana, na matamanio
mbali mbali, akazisafisha kutokana na
sifa za upotofu, na akazielekeza kwenye
haki, na akaziongoza kwenye njia iliyo
nyooka.
Na ni dini iliyo sawa iliyo kamilika
isiyokuwa na kasoro katika habari zake




zote, na hukumu zake zote, haikuelezea
ila ukweli na haki, na wala haikuhukumu
ila kwa kheri na uadilifu, miongoni mwa
itikadi sahihi, na vitendo vilivyo sawa,
na tabia bora, na desturi za hali ya juu.
Na ujumbe wa Uislamu unalengo la
kutimiza mambo yafuatayo:
~ Kuwajulisha watu mola wao na
muumba wao kwa majina yake mazuri
ambayo hakuna mwenye majina hayo
isipokuwa yeye tu, na sifa zake za hali
ya juu ambazo hakuna mwenye
kufanana nae katika sifa hizo, na
vitendo vyake vya hekima ambavyo
hana mshirika kwenye vitendo hivyo,
na kustahiki kwake (majina hayo, na
sifa hzo, na vitendo hivyo) ambako
hana mshirika ndani yake.

للكاتب/المؤلف : قسم البحوث التربوية في جامعة الإسلام .
دار النشر : .
عدد مرات التحميل : 8097 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الثلاثاء , 26 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 139.4 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

 Kila sifa njema ni zake Mwenyezi
Mungu Mola wa viumbe vyote, sala na
amani ziwe juu ya Imamu wa Mitume,
Nabii wetu Muhammad, na jamaa zake,
na Masahaba wake wote.
Ama baada:_
UISLAMU:_ ni kushuhudia kuwa
hapana Mola apasae kuabudiwa kwa
haki ila Mwenyezi Mungu mmoja, na
Muhammad (rehema na amani za
Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) ni
mjumbe wa Mwenyezi Mungu,
(kushuhudia) kwa moyo, na kwa ulimi,
na kwa viungo.

 


Na (huo Uislamu) unajumuisha
kuamini nguzo sita za Imani kwa
kutekeleza nguzo tano za Uislamu, na
nguzo mbili za Ihsani.
Na (huo Uislamu) ni risala ya mwisho
miongoni mwa risala za Mwenyezi
Mungu, ambayo ameiteremsha
Mwenyewe Allah kwa mwisho wa
manabii wake na mitume wake, Mtume
Muhammad bin Abdillah (rehema na
amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu
yake).
Na (huo Uislamu) ndiyo dini ya haki
ambayo Mwenyezi Mungu hatakubali
dini nyingine isiyokuwa uislamu, na
hakika ameifanya Mwenyezi Mungu dini
ya uislamu kuwa nyepesi na rahisi,
hakuna ugumu au uzito ndani yake, wala
tabu, hakuwalazimisha (Allah) wenye
kuingia ndani ya dini hiyo mambo
wasiyo yaweza, na wala hakuwakalifisha
kwa yale wasiyoweza.

 

Na ni dini ambayo msingi wake ni
TAUHID (kumpwekesha Mwenyezi
Mungu katika ibada), na alama yake ni
ukweli, na imezungukwa na uadilifu, na
ndiyo usimamizi wa haki, na roho yake
(dini hii) ni huruma, na ni dini tukufu
ambayo huwaongoza waja (watu)
kwenye kila jambo lenye manufaa katika
dini yao na dunia yao, na
huwatahadharisha kutokana na kila lenye
madhara katika dini yao na maisha yao,
Na ni dini ambayo Mwenyezi Mungu
amerekebisha kwayo itikadi na tabia, na
akarekebisha kwayo maisha ya duniani
na Akhera, na akaziunganisha kwayo
nyoyo zilizo tafautiana, na matamanio
mbali mbali, akazisafisha kutokana na
sifa za upotofu, na akazielekeza kwenye
haki, na akaziongoza kwenye njia iliyo
nyooka.
Na ni dini iliyo sawa iliyo kamilika
isiyokuwa na kasoro katika habari zake

 


zote, na hukumu zake zote, haikuelezea
ila ukweli na haki, na wala haikuhukumu
ila kwa kheri na uadilifu, miongoni mwa
itikadi sahihi, na vitendo vilivyo sawa,
na tabia bora, na desturi za hali ya juu.
Na ujumbe wa Uislamu unalengo la
kutimiza mambo yafuatayo:
~ Kuwajulisha watu mola wao na
muumba wao kwa majina yake mazuri
ambayo hakuna mwenye majina hayo
isipokuwa yeye tu, na sifa zake za hali
ya juu ambazo hakuna mwenye
kufanana nae katika sifa hizo, na
vitendo vyake vya hekima ambavyo
hana mshirika kwenye vitendo hivyo,
na kustahiki kwake (majina hayo, na
sifa hzo, na vitendo hivyo) ambako
hana mshirika ndani yake.



نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU
قسم البحوث التربوية في جامعة الإسلام
قسم البحوث التربوية في جامعة الإسلام
Department of Educational Research at the University of Islam
❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU ❝ ❱.



كتب اخرى في كتب إسلامية باللغة السواحلية

Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF

قراءة و تحميل كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF مجانا

UBORA WA UISLAMU PDF

قراءة و تحميل كتاب UBORA WA UISLAMU PDF مجانا

HIJABU PDF

قراءة و تحميل كتاب HIJABU PDF مجانا

AQIDATUL WASITWYYAH PDF

قراءة و تحميل كتاب AQIDATUL WASITWYYAH PDF مجانا

Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF

قراءة و تحميل كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF مجانا

HII NDIYO ITIKADI YETU PDF

قراءة و تحميل كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU PDF مجانا

SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF

قراءة و تحميل كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF مجانا

KUFICHUA YENYE UTATA PDF

قراءة و تحميل كتاب KUFICHUA YENYE UTATA PDF مجانا

المزيد من كتب علوم القرآن في مكتبة كتب علوم القرآن , المزيد من كتب إسلامية متنوعة في مكتبة كتب إسلامية متنوعة , المزيد من إسلامية متنوعة في مكتبة إسلامية متنوعة , المزيد من كتب الفقه العام في مكتبة كتب الفقه العام , المزيد من كتب التوحيد والعقيدة في مكتبة كتب التوحيد والعقيدة , المزيد من مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف في مكتبة مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف , المزيد من كتب أصول الفقه وقواعده في مكتبة كتب أصول الفقه وقواعده , المزيد من التراجم والأعلام في مكتبة التراجم والأعلام , المزيد من السنة النبوية الشريفة في مكتبة السنة النبوية الشريفة
عرض كل كتب إسلامية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..