كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadhaكتب إسلامية

كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha

Namshukuru Mwenyezi Mungu peke yake, rehema na amani zimwendee mja wake na Mtume wake Mtume wetu Muhammad pamoja na familia yake na Maswahaba zake. Amma baad. Haya ni maneno kwa ufupi yanayo bainisha namna ya swala ya Mtume (s.a.w), nimekusudia kuileta kwa kila Muislamu mwanaume na mwanamke ili ajitahidi kila atakae soma kitabu hiki amuige Mtume (s.a.w) kwa ajili ya kufanyia kazi maneno yake Mtume (s.a.w): (Swalini kama mlivyo niona nikiswali). Kapokea hadithi hii Imamu Bukhari. Ni juu ya msomaji kufuata haya: 1: AUKAMILISHE UDHU. Nako ni kutawadha kama alivyo amrisha Mwenyezi Mungu kwa kauli yake tukufu: (Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala basi osheni nyuso zenu, na mikonoyenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni...). (Al-Maida: 6). Na kauli ya Mtume (s.a.w): (Haikubaliwi swala bila ya kujitwaharisha). Ameipokea hadithi hii Imamu Abuu Daud na Tirmidhiy, na akaisahihisha Shekh Al-baniy (r.h). Na udhu unakuwa kama ifuatavyo: 1: Anuwie kutawadha ndani ya moyo wake bila ya kutamka niya, kwa sababu Mtume (s.a.w) hakutamka niya wakati wa kutawadha kwake wala ndani ya swala yake wala katika ibada yake yoyote, kwa sababu . Kitabu hii kinaelezea sifa ya swala ya mtume s.a.w . na jinsi ya kutawadha, kitabu hiki nizawadi kwa waislam wote wanaotaka kumuiga mtume s.a.w katika swala na udhu.
Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha ❝ ❞ Hal Hal Yang Merusak Aqidah ❝ ❞ Haji Umrah dan Ziarah Menurut Kitab dan Sunnah ❝ ❞ Beberapa Pelajaran Penting untuk Seluruh Ummat ❝ ❞ WASPADA TERHADAP BID rsquo AH ❝ ❞ Risalah Pilihan Seputar Aqidah Shalat Zakat Puasa Haji dan Dzikir ❝ ❞ KEWAJIBAN BERPEGANG TEGUH KEPADA AS SUNNAH DAN WASPADA TERHADAP BID rsquo AH ❝ ❞ Hukum Sihir Dan Perdukunan ❝ ❞ DO rsquo A DAN DZIKIR PILIHAN ❝ الناشرين : ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ alifta.net ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

وصف الكتاب : Namshukuru Mwenyezi Mungu peke yake, rehema na amani
zimwendee mja wake na Mtume wake Mtume wetu Muhammad pamoja
na familia yake na Maswahaba zake.
Amma baad.
Haya ni maneno kwa ufupi yanayo bainisha namna ya swala ya
Mtume (s.a.w), nimekusudia kuileta kwa kila Muislamu mwanaume na
mwanamke ili ajitahidi kila atakae soma kitabu hiki amuige Mtume
(s.a.w) kwa ajili ya kufanyia kazi maneno yake Mtume (s.a.w): (Swalini
kama mlivyo niona nikiswali). Kapokea hadithi hii Imamu Bukhari.
Ni juu ya msomaji kufuata haya:
1: AUKAMILISHE UDHU.
Nako ni kutawadha kama alivyo amrisha Mwenyezi Mungu kwa
kauli yake tukufu: (Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala
basi osheni nyuso zenu, na mikonoyenu mpaka vifundoni, na mpake
vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni...). (Al-Maida: 6).
Na kauli ya Mtume (s.a.w): (Haikubaliwi swala bila ya
kujitwaharisha). Ameipokea hadithi hii Imamu Abuu Daud na Tirmidhiy,
na akaisahihisha Shekh Al-baniy (r.h).
Na udhu unakuwa kama ifuatavyo:
1: Anuwie kutawadha ndani ya moyo wake bila ya kutamka niya,
kwa sababu Mtume (s.a.w) hakutamka niya wakati wa kutawadha kwake
wala ndani ya swala yake wala katika ibada yake yoyote, kwa sababu

.


Kitabu hii kinaelezea sifa ya swala ya mtume s.a.w . na jinsi ya kutawadha, kitabu hiki nizawadi kwa waislam wote wanaotaka kumuiga mtume s.a.w katika swala na udhu.

للكاتب/المؤلف : Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz .
دار النشر : .
سنة النشر : 2015م / 1436هـ .
عدد مرات التحميل : 7767 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الأربعاء , 27 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 447.3 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

Namshukuru Mwenyezi Mungu peke yake, rehema na amani
zimwendee mja wake na Mtume wake Mtume wetu Muhammad pamoja
na familia yake na Maswahaba zake.
Amma baad.
Haya ni maneno kwa ufupi yanayo bainisha namna ya swala ya
Mtume (s.a.w), nimekusudia kuileta kwa kila Muislamu mwanaume na
mwanamke ili ajitahidi kila atakae soma kitabu hiki amuige Mtume
(s.a.w) kwa ajili ya kufanyia kazi maneno yake Mtume (s.a.w): (Swalini
kama mlivyo niona nikiswali). Kapokea hadithi hii Imamu Bukhari.
Ni juu ya msomaji kufuata haya:
1: AUKAMILISHE UDHU.
Nako ni kutawadha kama alivyo amrisha Mwenyezi Mungu kwa
kauli yake tukufu: (Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala
basi osheni nyuso zenu, na mikonoyenu mpaka vifundoni, na mpake
vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni...). (Al-Maida: 6).
Na kauli ya Mtume (s.a.w): (Haikubaliwi swala bila ya
kujitwaharisha). Ameipokea hadithi hii Imamu Abuu Daud na Tirmidhiy,
na akaisahihisha Shekh Al-baniy (r.h).
Na udhu unakuwa kama ifuatavyo:
1: Anuwie kutawadha ndani ya moyo wake bila ya kutamka niya,
kwa sababu Mtume (s.a.w) hakutamka niya wakati wa kutawadha kwake
wala ndani ya swala yake wala katika ibada yake yoyote, kwa sababu


Mwenyezi Mungu anafahamu yaliyomo moyoni hakuna haja ya
kumwambia anayotaka kuyafanya.
2: Kisha aseme: (Bismi LLah).
3: Kisha aoshe vitanga vyake mara tatu.
4: Kisha aingize maji mdomoni na kusukutua na kupandisha
mengine puani na kuyatoa kwa mkono wake wa kushoto mara tatu.
5: Kisha aoshe uso wake kuanzia maoteo ya nywele mpaka chini ya
kidevu kwa urefu, na sikio hadi sikio kwa upana mara tatu.
6: Kisha aoshe mikono yake kuanzia mwanzo wa vidole mpaka
kwenye kongo mbili mara tatu, akianzia mkono wa kulia kisha wa
kushoto.
7:Kisha apake kichwani kwake mara moja, alowanishe vitanga
vyake vya mikono kisha apitishe kuanzia mwanzo wa kichwa chake
mpaka nyuma ya kichwa chake kisha arejeshe alipoanzia.
8: Kisha apake masikioni kwake mara moja, aingize vidole vyake
kwenye masikio yake na apitishe vidole gumba vyake nyuma ya masikio
yake.
9: Kisha aoshe miguu yake kuanzia mwanzo wa vidole mpaka juu
ya fundo mbili mara tatu, aanzie mguu wa kulia kisha amalizie wa
kushoto.
Amesema Mtume (s.w.a): (Hawi yeyote miongoni mwenu
anapotawadha na kukamilisha udhu kisha akasema: Ash-hadu anlaa
iLaha illa LLahu wahdahu laa sharika lahu, wa Ash-hadu anna
Muhammada abduhu wa rasuluhu, isipokuwa hufunguliwa kwa ajili yake
milango minane ya pepo ataingia katika mlango anaoutaka). Kaipoke
hadithi hii Imamu Muslim.


 Kitabu hii kinaelezea sifa ya swala ya mtume s.a.w . na jinsi ya kutawadha, kitabu hiki nizawadi kwa waislam wote wanaotaka kumuiga mtume s.a.w katika swala na udhu.



نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha
Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz
Abdul Aziz bin Abdullah bin Baaz
ABDUL AZIZ BIN ABDULLAH BIN BAAZ
❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha ❝ ❞ Hal Hal Yang Merusak Aqidah ❝ ❞ Haji Umrah dan Ziarah Menurut Kitab dan Sunnah ❝ ❞ Beberapa Pelajaran Penting untuk Seluruh Ummat ❝ ❞ WASPADA TERHADAP BID rsquo AH ❝ ❞ Risalah Pilihan Seputar Aqidah Shalat Zakat Puasa Haji dan Dzikir ❝ ❞ KEWAJIBAN BERPEGANG TEGUH KEPADA AS SUNNAH DAN WASPADA TERHADAP BID rsquo AH ❝ ❞ Hukum Sihir Dan Perdukunan ❝ ❞ DO rsquo A DAN DZIKIR PILIHAN ❝ الناشرين : ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ alifta.net ❝ ❱.



كتب اخرى في كتب إسلامية باللغة السواحلية

UBORA WA UISLAMU PDF

قراءة و تحميل كتاب UBORA WA UISLAMU PDF مجانا

HIJABU PDF

قراءة و تحميل كتاب HIJABU PDF مجانا

AQIDATUL WASITWYYAH PDF

قراءة و تحميل كتاب AQIDATUL WASITWYYAH PDF مجانا

MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU PDF

قراءة و تحميل كتاب MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU PDF مجانا

HII NDIYO ITIKADI YETU PDF

قراءة و تحميل كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU PDF مجانا

SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF

قراءة و تحميل كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF مجانا

KUFICHUA YENYE UTATA PDF

قراءة و تحميل كتاب KUFICHUA YENYE UTATA PDF مجانا

BID acute AH ZA JENEZA PDF

قراءة و تحميل كتاب BID acute AH ZA JENEZA PDF مجانا

المزيد من كتب علوم القرآن في مكتبة كتب علوم القرآن , المزيد من كتب إسلامية متنوعة في مكتبة كتب إسلامية متنوعة , المزيد من إسلامية متنوعة في مكتبة إسلامية متنوعة , المزيد من كتب الفقه العام في مكتبة كتب الفقه العام , المزيد من كتب التوحيد والعقيدة في مكتبة كتب التوحيد والعقيدة , المزيد من مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف في مكتبة مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف , المزيد من كتب أصول الفقه وقواعده في مكتبة كتب أصول الفقه وقواعده , المزيد من التراجم والأعلام في مكتبة التراجم والأعلام , المزيد من السنة النبوية الشريفة في مكتبة السنة النبوية الشريفة
عرض كل كتب إسلامية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..