كتاب HIJABUكتب إسلامية

كتاب HIJABU

Himdi zote ni za Allaah. Tunamhimidi na kumuomba msaada na msamaha. Tunajikinga Kwake kutokana na shari ya nafsi zetu na matendo yetu maovu. Yule mwenye kuongozwa na Allaah, basi hakuna awezae kumpoteza, na yule mwenye kupotezwa na Allaah, basi hakuna awezae kumwongoza. Ninashuhudia ya kwamba hapana mola wa haki isipokuwa Allaah na ninashuhudia ya kwamba Muhammad ni mja na Mtume Wake. Allaah amswalie yeye, kizazi chake, Maswahabah zake na kila mwenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah. Amma ba ́d: Allaah (Ta ́ala) amemtuma Muhammad (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) na uongofu na dini ya haki ili kuwaondosha watu kutoka gizani na kuwaongoza katika nuru, kwa idhini ya Mola wao, kwenda katika njia [inayoelekeza kwa], Mwenye nguvu na msifiwa. Allaah amemtuma ili aweze kuabudiwa Yeye mwenyewe kwa kukamilisha udhalilikaji na unyenyekevu Kwake Allaah (Tabaaraka wa Ta ́ala) kwa kutekeleza maamrisho Yake na kujiepusha na makatazo Yake na kutanguliza hayo mbele ya matamanio na shahawa za nafsi. Allaah amemtuma vilevile ili kutimiza tabia njema na kulingania kwayo kwa kutumia kila njia na kubomoa tabia zote mbaya na kutahadharisha nazo kwa kutumia kila njia. Kwa ajili hiyo ndio maana Shari ́ah yake (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) imekamilika kwa njia zote. Haihitajii kiumbe mwenye kuikamilisha na kuipanga. Ni yenye kutoka kwa mwingi wa hekima na Mjuzi wa yale yote ambayo ni mema kwa waja Wake na ni Mwenye kuwahurumia. Mfano mmoja wa tabia hizo nzuri alizotumwa nazo Muhammad (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) ni haya ambayo Mtume (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) ameifanya kuwa ni sehemu katika imani. al-Hijaab Ibn ́Uthaymiyn Kitabu hii kinazunguzia hijabu ya muislam sifa zake na hukumu zake.
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ HIJABU ❝ ❞ HII NDIYO ITIKADI YETU ❝ ❞ HUKUMU ZA TWAHARA ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

وصف الكتاب : Himdi zote ni za Allaah. Tunamhimidi na kumuomba msaada na msamaha.
Tunajikinga Kwake kutokana na shari ya nafsi zetu na matendo yetu maovu. Yule
mwenye kuongozwa na Allaah, basi hakuna awezae kumpoteza, na yule mwenye
kupotezwa na Allaah, basi hakuna awezae kumwongoza. Ninashuhudia ya kwamba
hapana mola wa haki isipokuwa Allaah na ninashuhudia ya kwamba Muhammad ni
mja na Mtume Wake. Allaah amswalie yeye, kizazi chake, Maswahabah zake na kila
mwenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah.
Amma ba ́d:
Allaah (Ta ́ala) amemtuma Muhammad (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) na uongofu na dini ya haki
ili kuwaondosha watu kutoka gizani na kuwaongoza katika nuru, kwa idhini ya
Mola wao, kwenda katika njia [inayoelekeza kwa], Mwenye nguvu na msifiwa.
Allaah amemtuma ili aweze kuabudiwa Yeye mwenyewe kwa kukamilisha
udhalilikaji na unyenyekevu Kwake Allaah (Tabaaraka wa Ta ́ala) kwa kutekeleza maamrisho
Yake na kujiepusha na makatazo Yake na kutanguliza hayo mbele ya matamanio na
shahawa za nafsi. Allaah amemtuma vilevile ili kutimiza tabia njema na kulingania
kwayo kwa kutumia kila njia na kubomoa tabia zote mbaya na kutahadharisha nazo
kwa kutumia kila njia. Kwa ajili hiyo ndio maana Shari ́ah yake (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam)
imekamilika kwa njia zote. Haihitajii kiumbe mwenye kuikamilisha na kuipanga. Ni
yenye kutoka kwa mwingi wa hekima na Mjuzi wa yale yote ambayo ni mema kwa
waja Wake na ni Mwenye kuwahurumia.
Mfano mmoja wa tabia hizo nzuri alizotumwa nazo Muhammad (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) ni
haya ambayo Mtume (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) ameifanya kuwa ni sehemu katika imani.

al-Hijaab
Ibn ́Uthaymiyn

Kitabu hii kinazunguzia hijabu ya muislam sifa zake na hukumu zake.

للكاتب/المؤلف : Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen .
دار النشر : .
عدد مرات التحميل : 7517 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الثلاثاء , 26 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 804 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

wajibu kwa mwanamke kuufunika uso wake mbele ya wanaume ajinabi............................... 4
2. Kufunika uso kunachangia kuhifadhi tupu................................................................................... 6
3. Uzuri wa mwanamke uko usoni..................................................................................................... 8
4. Uso ni mapambo yasiyotakikana kuonekana................................................................................ 9
5. Fitina iko usoni kwa mwanamke ..................................................................................................10
6. Uso wa mwanamke ni wenye fitina zaidi kuliko sauti ya mnyororo wake.................................. 11
7. Tofauti ya mwanaume mtu mzima na kijana ...............................................................................12
8. Wanawake bora zaidi walikuwa wakijifunika nyuso zao.............................................................14
9. Ni wajibu kwa mwanamke ajifunike mbele ya wanaume ajinabi................................................16
10. Cha kwanza mchumbiaji huangalia huwa ni uso .......................................................................16
11. Haijuzu kwa mwanamke kutoka kwenda mahala pa kuswalia bila ya mavazi ya juu ...............18
12. Wanawake wa kwanza walikuwa wakijifunika wanapotoka majumbani ..................................19
13. Ni wajibu kwa mwanamke kufunika miguu yake anapotoka nyumbani...................................21
14. Mwanamke anaruhusiwa kuonesha uso mtumwa wake........................................................... 22
15. Wajibu tu ndio iwezayo kuitikisa wajibu nyingine.................................................................... 23
16. Mwanamke kuonesha uso wake kuna madhara zaidi kuliko manufaa .................................... 25
17. Mwanamke kuonesha uso wake kunepelekea katika fitina....................................................... 26
18. Mwanamke kuonesha uso wake kunamwondosha haya........................................................... 27
19. Mwanamke kuonesha uso kunamfitinisha mwanaume............................................................ 28
20. Mwanamke kuonesha uso wake kunapelekea katika mchanganyiko ...................................... 29
21. Dalili juu ya kwamba inajuzu kwa mwanamke kuonesha uso.................................................. 32
22. Dalili za kujifunika ni zenye kutangulizwa juu ya dalili za kujifunua ...................................... 35
23. Tafsiri ya maneno ya Ibn  ́Abbaas ............................................................................................ 36

al-Hijaab
Ibn  ́Uthaymiyn

3

www.firqatunnajia.com

24. Tafsiri ya Hadiyth ya Asmaa ́.................................................................................................... 38
25. Tafsiri ya Hadiyth ya al-Fadhwl ................................................................................................ 39
26. Tafsiri ya Hadiyth ya mwanamke mwenye mashavu ya kupauka............................................40
27. Khitimisho ya kitabu "al-Hijaab"................................................................................................41

Himdi zote ni za Allaah. Tunamhimidi na kumuomba msaada na msamaha.
Tunajikinga Kwake kutokana na shari ya nafsi zetu na matendo yetu maovu. Yule
mwenye kuongozwa na Allaah, basi hakuna awezae kumpoteza, na yule mwenye
kupotezwa na Allaah, basi hakuna awezae kumwongoza. Ninashuhudia ya kwamba
hapana mola wa haki isipokuwa Allaah na ninashuhudia ya kwamba Muhammad ni
mja na Mtume Wake. Allaah amswalie yeye, kizazi chake, Maswahabah zake na kila
mwenye kuwafuata kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah.
Amma ba ́d:
Allaah (Ta ́ala) amemtuma Muhammad (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) na uongofu na dini ya haki
ili kuwaondosha watu kutoka gizani na kuwaongoza katika nuru, kwa idhini ya
Mola wao, kwenda katika njia [inayoelekeza kwa], Mwenye nguvu na msifiwa.
Allaah amemtuma ili aweze kuabudiwa Yeye mwenyewe kwa kukamilisha
udhalilikaji na unyenyekevu Kwake Allaah (Tabaaraka wa Ta ́ala) kwa kutekeleza maamrisho
Yake na kujiepusha na makatazo Yake na kutanguliza hayo mbele ya matamanio na
shahawa za nafsi. Allaah amemtuma vilevile ili kutimiza tabia njema na kulingania
kwayo kwa kutumia kila njia na kubomoa tabia zote mbaya na kutahadharisha nazo
kwa kutumia kila njia. Kwa ajili hiyo ndio maana Shari ́ah yake (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam)
imekamilika kwa njia zote. Haihitajii kiumbe mwenye kuikamilisha na kuipanga. Ni
yenye kutoka kwa mwingi wa hekima na Mjuzi wa yale yote ambayo ni mema kwa
waja Wake na ni Mwenye kuwahurumia.
Mfano mmoja wa tabia hizo nzuri alizotumwa nazo Muhammad (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) ni
haya ambayo Mtume (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) ameifanya kuwa ni sehemu katika imani.

al-Hijaab
Ibn  ́Uthaymiyn

 

Hakuna yeyote mwenye kupinga ya kwamba Shari ́ah na desturi vyote viwili
vimemwamrisha mwanamke kuwa na haya na kuwa na tabia nzuri yenye kumkinga
na kutumbukia kwenye fitina na hali zenye utata. Ni jambo lisilokuwa na shaka
yoyote kwamba katika aina kubwa za kuwa na haya na kujiheshimisha ni pamoja na
yeye kujisitiri ikiwa ni pamoja vilevile na kufunika uso wake kwa kuwa
limnamlinda na kumkinga na kutumbukia kwenye fitina.
Hapo kabla watu katika mji huu uliobarikiwa - mji wa Wahyiy, ujumbe, haya na
heshima - walikuwa ni wazuri katika suala hili. Wanawake walikuwa wakitoka
wakiwa na Jilbaab, mbali kabisa na wanaume. Hali bado ni yenye kuendelea hivo
katika miji mingi ya kifalme na himdi zote ni Zake Allaah. Lakini pale baadhi ya
watu walipozungumzia juu ya Hijaab, kuwatazama wale wasiofanya hivo na
kuonelea kuwa ni sawa kwa mwanamke kuonesha uso, ndipo baadhi ya watu
wakaanza kutilia shaka Hijaab na kama ni wajibu kufunika uso au imependekezwa.
Au ni jambo tu ambalo ni la kimila na kidesturi na sio wajibu wala
haikupendekezwa?
Ili kuondoa shaka hii na kubainisha uhakika wa mambo ndipo nikapendelea
kuandika yenye kuweka wazi hukumu kwa kutaraji ya kwamba Allaah (Ta ́ala)
ataifanya iweke haki wazi na kutufanya sisi ni wenye kuongoka na kuiona haki na
kuifuata na batili na kuiepuka. Hivyo basi, ninamuomba Allaah mafanikio na
kusema:
Enyi waislamu! Tambueni ya kwamba mwanamke kujisitiri na kuufunika uso wake
mbele ya wanaume ajinabi ni jambo la wajibu. Uwajibu wake unatolewa dalili na
Kitabu cha Mola Wako (Ta ́ala), Sunnah za Mtume Wako (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) na mtazamo
sahihi.

 


 Kitabu hii kinazunguzia hijabu ya muislam sifa zake na hukumu zake.



نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل HIJABU
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen
Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al Uthaymeen
SHAYKH MUHAMMAD IBN SWALEH AL UTHAYMEEN
❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ HIJABU ❝ ❞ HII NDIYO ITIKADI YETU ❝ ❞ HUKUMU ZA TWAHARA ❝ ❱.



كتب اخرى في كتب إسلامية باللغة السواحلية

SIFA ZA MKE MWEMA PDF

قراءة و تحميل كتاب SIFA ZA MKE MWEMA PDF مجانا

Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu PDF

قراءة و تحميل كتاب Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu PDF مجانا

Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF

قراءة و تحميل كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF مجانا

UBORA WA UISLAMU PDF

قراءة و تحميل كتاب UBORA WA UISLAMU PDF مجانا

AQIDATUL WASITWYYAH PDF

قراءة و تحميل كتاب AQIDATUL WASITWYYAH PDF مجانا

MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU PDF

قراءة و تحميل كتاب MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU PDF مجانا

Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF

قراءة و تحميل كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF مجانا

HII NDIYO ITIKADI YETU PDF

قراءة و تحميل كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU PDF مجانا

المزيد من كتب علوم القرآن في مكتبة كتب علوم القرآن , المزيد من كتب إسلامية متنوعة في مكتبة كتب إسلامية متنوعة , المزيد من إسلامية متنوعة في مكتبة إسلامية متنوعة , المزيد من كتب الفقه العام في مكتبة كتب الفقه العام , المزيد من كتب التوحيد والعقيدة في مكتبة كتب التوحيد والعقيدة , المزيد من مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف في مكتبة مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف , المزيد من كتب أصول الفقه وقواعده في مكتبة كتب أصول الفقه وقواعده , المزيد من التراجم والأعلام في مكتبة التراجم والأعلام , المزيد من السنة النبوية الشريفة في مكتبة السنة النبوية الشريفة
عرض كل كتب إسلامية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..