Kitabu hiki kinazunguzia bid’ah uzushi katika mambo ya jeneza
Ahkaam-ul-Janaaiz
Mlango:
Bid ́ah Za Jeneza
Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn
al-Albaaniy
Kabla ya kufa.............................................................................03
Baada ya kufa.............................................................................04
Kuosha maiti..............................................................................07
Sanda na kutoka na jeneza......................................................08
Kumswalia.................................................................................11
Kuzika na yanayofungamana na kuzika..............................12
Taazia (kutoa pole) na yanayofungamana na taazia..........14
Kuyetembelea makaburi.........................................................17
Mlango – Bid ́ah za jeneza
Imaam al-Albaaniy
3
1- Baadhi ya watu wanaitakidi kwamba Mashaytwaan wanamjia yule ambaye
anataka kukata roho kwa sura za wazazi wake wawili, mfano wa mayahudi na
manaswara ili wamletee wao kila aina ya mila isiyokuwa ya Uislamu ili
wampoteze. Anasema Ibn Hajar al-Haythamiy katika ”Fataawaa al-
Hadiythiyyah” akinukuu kutoka kwa as-Suyuutwiy:
”Hilo halikupokelewa.”
2- Kuweka msahafu kwenye kichwa cha yule anayetaka kukata roho.
3- Kumlakinia1 maiti akariri tamko la Mtume na maimamu wa Ahl-ul-Bayt ( ́alayhimus-
Salaam).
4- Kumsomea Suurat Yaasiyn yule anayetaka kakata roho.
5- Kumuelekeza yule mwenye kukata roho Qiblah.
Hili amelikataza Sa ́iyd Ibn Musayyib.
قراءة و تحميل كتاب Namna ya swala ya mtume saw na Namna ya kutawadha PDF مجانا
قراءة و تحميل كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF مجانا
قراءة و تحميل كتاب Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu PDF مجانا
قراءة و تحميل كتاب Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki PDF مجانا