كتاب RIBAAكتب إسلامية

كتاب RIBAA

Mada ya muhadhara ni kama mlivyosikia, ribaa na biashara za haramu au zilizokatazwa. Ni mada ndefu ila tutajaribu kuifupisha na huenda tukaikamilisha siku nyingine. Kwa kuwa watu wana haja kubwa ya mada kama hii. Ribaa, Allaah Katoa makemeo makali sana katika kitabu Chake Kitukufu. Kasema Allaah (Ta’ala): “Wale walao ribaa hawasimami ila kama anavyosimama aliyezugwa na shaytwaan kwa kumgusa. Hayo ni kwa kuwa wamesema: “Biashara ni kama ribaa. Lakini Allaah Ameihalalisha biashara na Ameiharimisha ribaa. Basi aliyefikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola Wake, kisha akajizuia, basi yake ni yaliyokwisha pita, na mambo yake yako kwa Allaah. Na wenye kurudia basi hao ndio watu wa Motoni, humo watadumu.” [Al-Baqarah 02: 275]. “Allaah Huiondolea baraka ribaa, na huzibariki swadaqah. Na Allaah Hampendi kila [kaffar] mwenye kukanya na afanyae dhambi. Hakika wale walioamini na wakatenda mema na wakasimamisha Swalah na wakatoa Zaakah, wao watapata ujira wao kwa Mola Wao, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatohuzunika.” [Al-Baqarah 02: 276-277]. “Enyi mlioamini! Mcheni Allaah, na acheni ribaa zilizobakia, ikiwa nyinyi ni Waumini. Basi mkitofanya jitangazieni vita Allaah na Mtume Wake. Na mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe.” [Al-Baqarah 02: 278-279]. “Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni swadaqah, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.” [Al- Baqarah 02: 280].
صالح بن فوزان الفوزان - صَالِح بنُ فَوزان بن عبدِ الله الفوزان (28 سبتمبر 1935م - 1 رجب 1354 هـ)، فقيه وأستاذ جامعي سعودي وهو عضو في هيئة كبار العلماء، وعضو في المجمع الفقهي بمكة المكرمة التابع لرابطة العالم الإسلامي، وعضو في لجنة الإشراف على الدعاة في الحج، إلى جانب عمله عضوًا في اللجنة الدائمة للبحوث العلمية والإفتاء بالمملكة العربية السعودية، وأيضًا إمام وخطيب ومدرس في جامع الأمير متعب بن عبد العزيز آل سعود في العاصمة السعودية الرياض، ويشارك في الإجابة في برنامج (نور على الدرب) في الإذاعة، كما أن له مشاركات منتظمة في المجلات العلمية على هيئة بحوث ودراسات ورسائل وفتاوى، جمع وطبع بعضها. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ الخطب المنبرية ❝ ❞ الملخص الفقهي ❝ ❞ مجموع فتاوى ❝ ❞ عقيدة التوحيد وبيان ما يضادها أو ينقصها من الشرك الأكبر أو الأصغر والتعطيل والبدع وغير ذلك ❝ ❞ الإرشاد ❝ ❞ شرح لمعة الاعتقاد الهادي إلى سبيل الرشاد لابن قدامة (ت. الفوزان) ❝ ❞ زينة المرأة المسلمة ❝ ❞ برنامج مكتبة الشيخ صالح الفوزان ❝ ❞ إعانة المستفيد بشرح كتاب التوحيد ❝ الناشرين : ❞ دار المعارف ❝ ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ مؤسسة الرسالة ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار ابن الجوزي ❝ ❞ مكتبة المعارف للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار طيبة للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة الرشد ❝ ❞ دار المنهاج للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار العاصمة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الفضيلة ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ دار ابن خزيمة للنشر والتوزيع ❝ ❞ جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية ❝ ❞ الرئاسة العامة للبحوث العلمية والإفتاء ❝ ❞ دار المسلم ❝ ❞ دار الميمان ❝ ❞ دار عمر بن الخطاب ❝ ❞ دار الامام احمد ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

وصف الكتاب : Mada ya muhadhara ni kama mlivyosikia, ribaa na biashara za haramu au
zilizokatazwa. Ni mada ndefu ila tutajaribu kuifupisha na huenda
tukaikamilisha siku nyingine. Kwa kuwa watu wana haja kubwa ya mada
kama hii. Ribaa, Allaah Katoa makemeo makali sana katika kitabu Chake
Kitukufu. Kasema Allaah (Ta’ala):



“Wale walao ribaa hawasimami ila kama anavyosimama aliyezugwa na
shaytwaan kwa kumgusa. Hayo ni kwa kuwa wamesema: “Biashara ni kama
ribaa. Lakini Allaah Ameihalalisha biashara na Ameiharimisha ribaa. Basi
aliyefikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola Wake, kisha akajizuia, basi yake ni
yaliyokwisha pita, na mambo yake yako kwa Allaah. Na wenye kurudia basi
hao ndio watu wa Motoni, humo watadumu.” [Al-Baqarah 02: 275].




“Allaah Huiondolea baraka ribaa, na huzibariki swadaqah. Na Allaah
Hampendi kila [kaffar] mwenye kukanya na afanyae dhambi. Hakika wale
walioamini na wakatenda mema na wakasimamisha Swalah na wakatoa
Zaakah, wao watapata ujira wao kwa Mola Wao, wala haitakuwa khofu juu
yao, wala hawatohuzunika.” [Al-Baqarah 02: 276-277].




“Enyi mlioamini! Mcheni Allaah, na acheni ribaa zilizobakia, ikiwa nyinyi ni
Waumini. Basi mkitofanya jitangazieni vita Allaah na Mtume Wake. Na
mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe.”
[Al-Baqarah 02: 278-279].



“Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na

mkiifanya deni kuwa ni swadaqah, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.” [Al-
Baqarah 02: 280].



للكاتب/المؤلف : صالح بن فوزان الفوزان .
دار النشر : .
عدد مرات التحميل : 6806 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الأربعاء , 27 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 134.8 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

Mada ya muhadhara ni kama mlivyosikia, ribaa na biashara za haramu au
zilizokatazwa. Ni mada ndefu ila tutajaribu kuifupisha na huenda
tukaikamilisha siku nyingine. Kwa kuwa watu wana haja kubwa ya mada
kama hii. Ribaa, Allaah Katoa makemeo makali sana katika kitabu Chake
Kitukufu. Kasema Allaah (Ta’ala):

 

“Wale walao ribaa hawasimami ila kama anavyosimama aliyezugwa na
shaytwaan kwa kumgusa. Hayo ni kwa kuwa wamesema: “Biashara ni kama
ribaa. Lakini Allaah Ameihalalisha biashara na Ameiharimisha ribaa. Basi
aliyefikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola Wake, kisha akajizuia, basi yake ni
yaliyokwisha pita, na mambo yake yako kwa Allaah. Na wenye kurudia basi
hao ndio watu wa Motoni, humo watadumu.” [Al-Baqarah 02: 275].

 


“Allaah Huiondolea baraka ribaa, na huzibariki swadaqah. Na Allaah
Hampendi kila [kaffar] mwenye kukanya na afanyae dhambi. Hakika wale
walioamini na wakatenda mema na wakasimamisha Swalah na wakatoa
Zaakah, wao watapata ujira wao kwa Mola Wao, wala haitakuwa khofu juu
yao, wala hawatohuzunika.” [Al-Baqarah 02: 276-277].

 


“Enyi mlioamini! Mcheni Allaah, na acheni ribaa zilizobakia, ikiwa nyinyi ni
Waumini. Basi mkitofanya jitangazieni vita Allaah na Mtume Wake. Na
mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe.”
[Al-Baqarah 02: 278-279].

 

“Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na

mkiifanya deni kuwa ni swadaqah, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.” [Al-
Baqarah 02: 280].

 

“Na iogopeni Siku ambayo mtarudishwa kwa Allaah, kisha kila nafsi italipwa
ilicho chuma. Nao hawatadhulumiwa.” [Al-Baqarah 02: 281].

Hizi Aayah ni za mwisho zilizoteremka katika Qur-aan kwa Mtume wa Allaah
(Swalla Allaahu ’alayhi wa sallam). Na zimebeba maudhui ya ribaa, na
zimeweka wazi makemeo makali kwa walao ribaa. Jambo la kwanza
Katukhabarisha Allaah kuwa wale walao ribaa hawasimami ila kama
anavyosimama aliyezugwa na Shaytwaan kwa kumgusa. [Al-Baqarah 02: 275]

Nako ni wakati Allaah Atapowafufua watu katika hesabu watatoka katika
makaburi yao hali yakuwa wanatembea mbiombio. Hakuna yeyote
atakayeikwepa siku hii.

 


“Siku watakapotoka makaburini kwa upesi kama kwamba wanakimbilia
mfundo, Macho yao yatainama, fedheha itawafunika. Hiyo ndiyo Siku
waliyokuwa wakiahidiwa.” [Al-Ma’aarij 70: 43-44].

 


“Macho yao yatainama; watatoka makaburini kama nzige waliotawanyika,

Wanamkimbilia mwitaji, na makafiri wanasema: Hii ni siku ngumu.” [Al-
Qamar 54: 07-08].

Watatoka watu kwenye makaburi yao kwa idhini ya Allaah (Ta’ala) Ambaye
Amewapa uhai baada ya kuwa Amewafisha, na baada ya kuwa walikuwa
wamekwishasagika mifupa na nyama zao. Allaah Atawarudishia umbile lao
kama walivyokuwa mwanzo.

 


“Kama tulivyoanza umbo la mwanzo tutalirudisha tena. Ni ahadi iliyo juu
yetu. Hakika Sisi ni watendao.” [Al-Anbiyaa 21: 104].

Atatoka mtu kwenye kaburi lake na kuelekea katika upande Atapomuelekeza
- katika hesabu, hakuna yeyote atayekwepa. Watakuwa wakitembea mbio
mbio. Isipokuwa tu walao ribaa. Wao watatoka kwenye makaburi yao pamoja
na wengine, lakini watakuwa na fedheha kubwa. Watatoka kwenye makaburi
yao na watataka kutembea (kwenda) na wengine, wataanguka. Kila
wanapojaribu kusimama wanaanguka kama hali ya mwendawazimu ambaye
kashikwa na jini. Hivyo ni kwa sababu ribaa waliokula duniani bado imo

matumboni mwao. Wakijaribu kusimama na kutembea hawatoweza. Na hii
itakuwa fedheha na aibu kubwa kwao mbele ya watu. Hali haitoishia hapo.
Bali Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Kawapa makemeo mbalimbali. Anasema
Allaah:

 

“Basi aliyefikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola Wake, kisha akajizuia.” [Al-
Baqarah 02: 275].

Yaani atakayetubu kwa [kula] ribaa baada ya kujua uharamu wake.

 

“Basi yake ni yaliyokwishapita.” [Al-Baqarah 02: 275].

Allaah Husamehe yaliyopita kwake katika aliyoyafanya kabla ya kufanya
tawbah. Kama madhambi mengine, akitubia mtu kwayo hata kama ni
makubwa - hata kama ni shirki na kufru - atakayetubia tawbah ya kweli
Allaah
Humsamehe na humfutia dhambi zake.

 

 Kitabu hii kinazunguzia riba na uharam wake



نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل RIBAA
صالح بن فوزان الفوزان
صالح بن فوزان الفوزان
Saleh Bin Fawzan Al Fawzan
صَالِح بنُ فَوزان بن عبدِ الله الفوزان (28 سبتمبر 1935م - 1 رجب 1354 هـ)، فقيه وأستاذ جامعي سعودي وهو عضو في هيئة كبار العلماء، وعضو في المجمع الفقهي بمكة المكرمة التابع لرابطة العالم الإسلامي، وعضو في لجنة الإشراف على الدعاة في الحج، إلى جانب عمله عضوًا في اللجنة الدائمة للبحوث العلمية والإفتاء بالمملكة العربية السعودية، وأيضًا إمام وخطيب ومدرس في جامع الأمير متعب بن عبد العزيز آل سعود في العاصمة السعودية الرياض، ويشارك في الإجابة في برنامج (نور على الدرب) في الإذاعة، كما أن له مشاركات منتظمة في المجلات العلمية على هيئة بحوث ودراسات ورسائل وفتاوى، جمع وطبع بعضها. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ الخطب المنبرية ❝ ❞ الملخص الفقهي ❝ ❞ مجموع فتاوى ❝ ❞ عقيدة التوحيد وبيان ما يضادها أو ينقصها من الشرك الأكبر أو الأصغر والتعطيل والبدع وغير ذلك ❝ ❞ الإرشاد ❝ ❞ شرح لمعة الاعتقاد الهادي إلى سبيل الرشاد لابن قدامة (ت. الفوزان) ❝ ❞ زينة المرأة المسلمة ❝ ❞ برنامج مكتبة الشيخ صالح الفوزان ❝ ❞ إعانة المستفيد بشرح كتاب التوحيد ❝ الناشرين : ❞ دار المعارف ❝ ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ مؤسسة الرسالة ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار ابن الجوزي ❝ ❞ مكتبة المعارف للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار طيبة للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة الرشد ❝ ❞ دار المنهاج للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار العاصمة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الفضيلة ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ دار ابن خزيمة للنشر والتوزيع ❝ ❞ جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية ❝ ❞ الرئاسة العامة للبحوث العلمية والإفتاء ❝ ❞ دار المسلم ❝ ❞ دار الميمان ❝ ❞ دار عمر بن الخطاب ❝ ❞ دار الامام احمد ❝ ❱.



كتب اخرى في كتب إسلامية باللغة السواحلية

HII NDIYO ITIKADI YETU PDF

قراءة و تحميل كتاب HII NDIYO ITIKADI YETU PDF مجانا

SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF

قراءة و تحميل كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA PDF مجانا

KUFICHUA YENYE UTATA PDF

قراءة و تحميل كتاب KUFICHUA YENYE UTATA PDF مجانا

BID acute AH ZA JENEZA PDF

قراءة و تحميل كتاب BID acute AH ZA JENEZA PDF مجانا

MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA PDF

قراءة و تحميل كتاب MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA PDF مجانا

Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu PDF

قراءة و تحميل كتاب Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu PDF مجانا

Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki PDF

قراءة و تحميل كتاب Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki PDF مجانا

TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR rsquo ANI TUKUFU PDF

قراءة و تحميل كتاب TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR rsquo ANI TUKUFU PDF مجانا

المزيد من كتب علوم القرآن في مكتبة كتب علوم القرآن , المزيد من كتب إسلامية متنوعة في مكتبة كتب إسلامية متنوعة , المزيد من إسلامية متنوعة في مكتبة إسلامية متنوعة , المزيد من كتب الفقه العام في مكتبة كتب الفقه العام , المزيد من كتب التوحيد والعقيدة في مكتبة كتب التوحيد والعقيدة , المزيد من مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف في مكتبة مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف , المزيد من كتب أصول الفقه وقواعده في مكتبة كتب أصول الفقه وقواعده , المزيد من التراجم والأعلام في مكتبة التراجم والأعلام , المزيد من السنة النبوية الشريفة في مكتبة السنة النبوية الشريفة
عرض كل كتب إسلامية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..