كتاب Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifuكتب إسلامية

كتاب Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu

Chapisho hili, "Je, IMANI YA UTATU ni ya Ufunuo Mtakatifu?", litatumika kama chakula cha fikra kwa kila mwenye mawazo mazuri na kwa wafuasi wa Ukristo wa Kisasa. Maana ya Utatu imekanganya kila dhehebu la Kikristo. Ingawa Bw. M. A. C. Cave alikuwa Mkristo anayeamini utatu hapo kabla, alipoanza kuutazama utafiti wake juu ya asili ya Imani hii, kwa mshangao mkubwa kabisa aligundua kuwa, Imani hiyo ilitungwa na kuendelezwa katika zama za mwishoni pia imepangwa na kuanzishwa na waandishi na watambuzi (Thinkers) mbali mbali wa Kikristo. Bw. M. A. C. Cave anakusanya ushahidi wa kuonyesha kuwa Utatu si lolote ila ni imani iliyotungwa na wanadamu, ambayo inashindwa kufikia kuwa ni ya ufunuo kutoka kwa Mungu. Kisha, imani hii iliyoundwa na fundi cherehani, imepoteza nguzo yake muhimu, na hilo lipo katika kupingana kwake yenyewe kwa yenyewe na imethibitisha kuwa ni mwiba mchungu kwa upande wa tabaka za Wakristo kiujumla na hasa hasa kwa viongozi wakuu wanaojaribu kuipigia upatu imani hiyo. Ni jambo lisilokubalika kwa mtu anayefikiria sawa sawa kuamini itikadi hii licha ya dosari zake zote. Mtu mwenye akili, anapaswa awe mmakinifu zaidi juu ya mambo ya mwelekeo wa kiroho na ambayo ni muhimu sana maishani mwake. Anatakiwa ajaribu kuchungulia katika maandiko ya dini nyingine ili kuondoa mashaka. Na hatakiwi ajiachie awe muhanga wa kuridhika na imani pofu kama ilivyokuwa zamani. Jaribu kutafakari juu ya aya za Maandiko Matakatifu: Nakusihi msomaji, kipime kitabu hiki kwa akili isiyopendelea na moyo mkunjufu kiukweli, kwa kuwa hii ndio njia ya pekee inayoweza kuongoza katika uamuzi sahihi utakaojenga maisha ya mtu hapa duniani na maisha yajayo. Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?.
MAKKICH - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

وصف الكتاب :

Chapisho hili, "Je, IMANI YA UTATU ni ya Ufunuo Mtakatifu?",
litatumika kama chakula cha fikra kwa kila mwenye mawazo mazuri na
kwa wafuasi wa Ukristo wa Kisasa. Maana ya Utatu imekanganya kila
dhehebu la Kikristo. Ingawa Bw. M. A. C. Cave alikuwa Mkristo
anayeamini utatu hapo kabla, alipoanza kuutazama utafiti wake juu ya
asili ya Imani hii, kwa mshangao mkubwa kabisa aligundua kuwa, Imani
hiyo ilitungwa na kuendelezwa katika zama za mwishoni pia imepangwa
na kuanzishwa na waandishi na watambuzi (Thinkers) mbali mbali wa
Kikristo.
Bw. M. A. C. Cave anakusanya ushahidi wa kuonyesha kuwa Utatu si
lolote ila ni imani iliyotungwa na wanadamu, ambayo inashindwa kufikia
kuwa ni ya ufunuo kutoka kwa Mungu. Kisha, imani hii iliyoundwa na
fundi cherehani, imepoteza nguzo yake muhimu, na hilo lipo katika
kupingana kwake yenyewe kwa yenyewe na imethibitisha kuwa ni mwiba
mchungu kwa upande wa tabaka za Wakristo kiujumla na hasa hasa kwa
viongozi wakuu wanaojaribu kuipigia upatu imani hiyo.
Ni jambo lisilokubalika kwa mtu anayefikiria sawa sawa kuamini itikadi
hii licha ya dosari zake zote. Mtu mwenye akili, anapaswa awe
mmakinifu zaidi juu ya mambo ya mwelekeo wa kiroho na ambayo ni
muhimu sana maishani mwake. Anatakiwa ajaribu kuchungulia katika
maandiko ya dini nyingine ili kuondoa mashaka. Na hatakiwi ajiachie
awe muhanga wa kuridhika na imani pofu kama ilivyokuwa zamani.
Jaribu kutafakari juu ya aya za Maandiko Matakatifu:
Nakusihi msomaji, kipime kitabu hiki kwa akili isiyopendelea na moyo
mkunjufu kiukweli, kwa kuwa hii ndio njia ya pekee inayoweza
kuongoza katika uamuzi sahihi utakaojenga maisha ya mtu hapa duniani
na maisha yajayo.

Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?.

للكاتب/المؤلف : MAKKICH .
دار النشر : .
عدد مرات التحميل : 7192 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الأربعاء , 27 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 427.9 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

Somo ukurasa
DIBAJI...........................................................................................................................1
UTANGULIZI...............................................................................................................2
Habari Maalum Kutoka Uingereza. ...........................................................................5
WAKRISTO ..............................................................................................................7
IMANI YA UTATU ................................................................................................10
JINSI UTATU ULIVYOKUA KATIKA ITIKADI YA KIKRISTO......................12
Imani ya Nicaea .......................................................................................................13
Imani ya Nicene .......................................................................................................14
SABABU ZILIZOSHAWISHI IMANI YA UTATU..............................................17
KUHALALISHWA KWA UTATU NA WANAUTATU ......................................19
IMANI YA UTATU HAIKUFUNDISHWA NA WAKRISTO WA MWANZO ..20
JE, BIBLIA INAFUNDISHA IMANI YA UTATU?..............................................22
Kuhusiana na Maandiko ya Kiyahudi..................................................................23
Kuhusiana na Maandiko ya Kigiriki....................................................................23
KUPINGWA IMANI YA UTATU NA WAKRISTO WA KISASA. ....................25
MAFUNDISHO YA MITUME YA MUNGU........................................................27
BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU MUNGU NA YESU (AS)...............................32
1. Ushuhuda wa Biblia kuhusu Mungu................................................................32
2. Ushuhuda wa Biblia kuhusu Yesu (AS) ..........................................................34
3. Kile anachokisema Yesu (AS) juu yake na Mungu.........................................37
KINACHOSEMWA NA QURAN TUKUFU KUHUSU MUNGU .......................40
UTHIBITISHO WA BIBLIA JUU YA IMANI YA UTATU.................................43
HOJA ZA NYONGEZA ZINAZOKANUSHA IMANI YA UTATU....................51
JE, YESU (AS) ANATHIBITISHA UFAHAMU WA ROHO MTAKATIFU?.....55
QURAN NI NINI? NA INASEMA NINI KUHUSU YESU (AS) NA MAMA
YAKE?.....................................................................................................................60
KISA CHA AJABU.................................................................................................64
ONYO KWA WALE WANAOPOTOSHA UJUMBE WA MUNGU ...................66

Chapisho hili, "Je, IMANI YA UTATU ni ya Ufunuo Mtakatifu?",
litatumika kama chakula cha fikra kwa kila mwenye mawazo mazuri na
kwa wafuasi wa Ukristo wa Kisasa. Maana ya Utatu imekanganya kila
dhehebu la Kikristo. Ingawa Bw. M. A. C. Cave alikuwa Mkristo
anayeamini utatu hapo kabla, alipoanza kuutazama utafiti wake juu ya
asili ya Imani hii, kwa mshangao mkubwa kabisa aligundua kuwa, Imani
hiyo ilitungwa na kuendelezwa katika zama za mwishoni pia imepangwa
na kuanzishwa na waandishi na watambuzi (Thinkers) mbali mbali wa
Kikristo.
Bw. M. A. C. Cave anakusanya ushahidi wa kuonyesha kuwa Utatu si
lolote ila ni imani iliyotungwa na wanadamu, ambayo inashindwa kufikia
kuwa ni ya ufunuo kutoka kwa Mungu. Kisha, imani hii iliyoundwa na
fundi cherehani, imepoteza nguzo yake muhimu, na hilo lipo katika
kupingana kwake yenyewe kwa yenyewe na imethibitisha kuwa ni mwiba
mchungu kwa upande wa tabaka za Wakristo kiujumla na hasa hasa kwa
viongozi wakuu wanaojaribu kuipigia upatu imani hiyo.
Ni jambo lisilokubalika kwa mtu anayefikiria sawa sawa kuamini itikadi
hii licha ya dosari zake zote. Mtu mwenye akili, anapaswa awe
mmakinifu zaidi juu ya mambo ya mwelekeo wa kiroho na ambayo ni
muhimu sana maishani mwake. Anatakiwa ajaribu kuchungulia katika
maandiko ya dini nyingine ili kuondoa mashaka. Na hatakiwi ajiachie
awe muhanga wa kuridhika na imani pofu kama ilivyokuwa zamani.
Jaribu kutafakari juu ya aya za Maandiko Matakatifu:
Nakusihi msomaji, kipime kitabu hiki kwa akili isiyopendelea na moyo
mkunjufu kiukweli, kwa kuwa hii ndio njia ya pekee inayoweza
kuongoza katika uamuzi sahihi utakaojenga maisha ya mtu hapa duniani
na maisha yajayo.

 Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?.

نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu
MAKKICH
MAKKICH
MAKKICH
❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu ❝ ❱.

كتب اخرى في كتب إسلامية باللغة السواحلية

KUFICHUA YENYE UTATA PDF

قراءة و تحميل كتاب KUFICHUA YENYE UTATA PDF مجانا

BID acute AH ZA JENEZA PDF

قراءة و تحميل كتاب BID acute AH ZA JENEZA PDF مجانا

RIBAA PDF

قراءة و تحميل كتاب RIBAA PDF مجانا

MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA PDF

قراءة و تحميل كتاب MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA PDF مجانا

Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki PDF

قراءة و تحميل كتاب Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki PDF مجانا

TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR rsquo ANI TUKUFU PDF

قراءة و تحميل كتاب TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR rsquo ANI TUKUFU PDF مجانا

Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu PDF

قراءة و تحميل كتاب Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu PDF مجانا

المزيد من كتب علوم القرآن في مكتبة كتب علوم القرآن , المزيد من كتب إسلامية متنوعة في مكتبة كتب إسلامية متنوعة , المزيد من إسلامية متنوعة في مكتبة إسلامية متنوعة , المزيد من كتب الفقه العام في مكتبة كتب الفقه العام , المزيد من كتب التوحيد والعقيدة في مكتبة كتب التوحيد والعقيدة , المزيد من مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف في مكتبة مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف , المزيد من كتب أصول الفقه وقواعده في مكتبة كتب أصول الفقه وقواعده , المزيد من التراجم والأعلام في مكتبة التراجم والأعلام , المزيد من السنة النبوية الشريفة في مكتبة السنة النبوية الشريفة
عرض كل كتب إسلامية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..