كتاب Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Munguكتب إسلامية

كتاب Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu

Yaliyomo: • Ni Ipi? • Jina La Dini • Mwenyezi Mungu Na Uumbaji • Ujumbe Wa Dini Za Uwongo • Dini Ya Mwenyezi Mungu Ni Ya Ulimwengu Mzima • Kumtambua Mwenyezi Mungu. • Dalili Za Mwenyezi Mungu. • Hitimisho ila mtu huzaliwa katika mazingira au hali ambayo si chaguo lake mwenyewe. Hupachikwa dini ya familia yake au mtazamo wa taifa lake toka mwanzoni mwa kuwepo kwake katika dunia hii. Wakati anapofikia ujana wa (miaka 13 – 20), kwa kawaida hulazimika kuamini kwamba imani ya jamii yake ndiyo imani sahihi ambayo kila mtu anapaswa kuwa nayo. Ingawa wakati fulani baadhi ya watu wanapokuwa wakubwa na wakaona imani nyingine huanza kuuliza na kuhoji ukweli wa imani yao. Wale wanaotafuta ukweli mara kwa mara hufikia mahali wakachanganyikiwa wanapogundua kwamba kila dini, dhehebu, au falsafa hudai ndio njia pekee iliyo sahihi kwa mwanadamu, kwani makundi yote hayo yanahamasisha watu kufanya matendo mema. Sasa ni ipi imani sahihi? Zote haziwezi kuwa sahihi, kwani kila moja hudai kuwa nyingine zote si sahihi. Sasa katika hali hiyo, yule anayetafuta ukweli vipi ataweza kuchagua njia iliyosahihi? Mwenyezi Mungu ametupa sote akili na uwezo wa kutuwezesha kufanya maamuzi sahihi na ya maana. Nayo ni maamuzi muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Mustakabali wake unautegemea uamuzi huo, kufuatana na hilo, kila mmoja wetu lazima achunguze ushahidi uliotolewa bila kupendelea ndipo achague kile kinachoonekana kuwa ni sahihi mpaka pale ushahidi mwingine utakapotokea. Kama ilivyo kwa kila dini au falsafa, Uislamu nao unadai kuwa huo ndio njia ya pekee iliyo sahihi kuelekea kwa Mwenyezi Mungu. Katika hali hiyo ya Uislamu kudai kuwa ni njia sahihi si tofauti na mifumo mingine. Kijitabu hiki kinakusudia kukupa ushahidi juu ya ukweli wa dai hilo. Hata hivyo, mara zote ni lazima izingatiwe kwamba, mtu anaweza kuipata njia ya kweli kwa kuweka kando hisia na chuki, vitu ambavyo mara kwa mara hutupofua tusiuone ukweli. Kisha, baada ya kufanya hivyo tu, ndipo tutakapoweza kutumia akili zetu tulizopewa na Mwenyezi Mungu kufanya maamuzi ya kiakili na yaliyo sahihi? Kuna hoja mbali mbali ambazo zinaweza kutolewa ili kulipa nguvu dai la Kiislamu kuwa ndio dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu.
أبو أمينة بلال فيليبس - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo ❝ ❞ THE QURAN S NUMERICAL MIRACLE HOAX OR HERESY ❝ ❞ Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu ❝ ❞ The Fundamental Principles of Qur’aanic Interpretation ❝ ❞ Usool At Tafseer ❝ ❞ Islamic Studies Book 1 ❝ ❞ Die Kategorien des Islamischen Monotheismus Tauhid ❝ ❞ THE CHENNAI TREATISE ON ANNUAL PAYMENT OF ZAKAAH ❝ ❞ Fiqh of Fasting ❝ الناشرين : ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ دار نشر الاسلامية الدولية ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

وصف الكتاب : Yaliyomo:
• Ni Ipi?
• Jina La Dini
• Mwenyezi Mungu Na Uumbaji
• Ujumbe Wa Dini Za Uwongo
• Dini Ya Mwenyezi Mungu Ni Ya Ulimwengu Mzima
• Kumtambua Mwenyezi Mungu.
• Dalili Za Mwenyezi Mungu.
• Hitimisho

ila mtu huzaliwa katika mazingira au hali ambayo si chaguo
lake mwenyewe. Hupachikwa dini ya familia yake au
mtazamo wa taifa lake toka mwanzoni mwa kuwepo kwake
katika dunia hii. Wakati anapofikia ujana wa (miaka 13 – 20), kwa
kawaida hulazimika kuamini kwamba imani ya jamii yake ndiyo
imani sahihi ambayo kila mtu anapaswa kuwa nayo. Ingawa wakati
fulani baadhi ya watu wanapokuwa wakubwa na wakaona imani
nyingine huanza kuuliza na kuhoji ukweli wa imani yao. Wale
wanaotafuta ukweli mara kwa mara hufikia mahali
wakachanganyikiwa wanapogundua kwamba kila dini, dhehebu, au
falsafa hudai ndio njia pekee iliyo sahihi kwa mwanadamu, kwani
makundi yote hayo yanahamasisha watu kufanya matendo mema.
Sasa ni ipi imani sahihi? Zote haziwezi kuwa sahihi, kwani kila moja
hudai kuwa nyingine zote si sahihi. Sasa katika hali hiyo, yule
anayetafuta ukweli vipi ataweza kuchagua njia iliyosahihi?
Mwenyezi Mungu ametupa sote akili na uwezo wa kutuwezesha
kufanya maamuzi sahihi na ya maana. Nayo ni maamuzi muhimu sana
katika maisha ya mwanadamu. Mustakabali wake unautegemea uamuzi huo,
kufuatana na hilo, kila mmoja wetu lazima achunguze ushahidi
uliotolewa bila kupendelea ndipo achague kile kinachoonekana kuwa
ni sahihi mpaka pale ushahidi mwingine utakapotokea.
Kama ilivyo kwa kila dini au falsafa, Uislamu nao unadai kuwa huo
ndio njia ya pekee iliyo sahihi kuelekea kwa Mwenyezi Mungu.
Katika hali hiyo ya Uislamu kudai kuwa ni njia sahihi si tofauti na
mifumo mingine. Kijitabu hiki kinakusudia kukupa ushahidi juu ya
ukweli wa dai hilo. Hata hivyo, mara zote ni lazima izingatiwe
kwamba, mtu anaweza kuipata njia ya kweli kwa kuweka kando hisia
na chuki, vitu ambavyo mara kwa mara hutupofua tusiuone ukweli.
Kisha, baada ya kufanya hivyo tu, ndipo tutakapoweza kutumia akili
zetu tulizopewa na Mwenyezi Mungu kufanya maamuzi ya kiakili na
yaliyo sahihi?
Kuna hoja mbali mbali ambazo zinaweza kutolewa ili kulipa nguvu
dai la Kiislamu kuwa ndio dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu.

للكاتب/المؤلف : أبو أمينة بلال فيليبس .
دار النشر : .
عدد مرات التحميل : 8152 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الأربعاء , 27 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 87.2 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

 Yaliyomo:
 • Ni Ipi?
 • Jina La Dini
 • Mwenyezi Mungu Na Uumbaji
 • Ujumbe Wa Dini Za Uwongo
 • Dini Ya Mwenyezi Mungu Ni Ya Ulimwengu Mzima
 • Kumtambua Mwenyezi Mungu.
 • Dalili Za Mwenyezi Mungu.
 • Hitimisho

ila mtu huzaliwa katika mazingira au hali ambayo si chaguo
lake mwenyewe. Hupachikwa dini ya familia yake au
mtazamo wa taifa lake toka mwanzoni mwa kuwepo kwake
katika dunia hii. Wakati anapofikia ujana wa (miaka 13 – 20), kwa
kawaida hulazimika kuamini kwamba imani ya jamii yake ndiyo
imani sahihi ambayo kila mtu anapaswa kuwa nayo. Ingawa wakati
fulani baadhi ya watu wanapokuwa wakubwa na wakaona imani
nyingine huanza kuuliza na kuhoji ukweli wa imani yao. Wale
wanaotafuta ukweli mara kwa mara hufikia mahali
wakachanganyikiwa wanapogundua kwamba kila dini, dhehebu, au
falsafa hudai ndio njia pekee iliyo sahihi kwa mwanadamu, kwani
makundi yote hayo yanahamasisha watu kufanya matendo mema.
Sasa ni ipi imani sahihi? Zote haziwezi kuwa sahihi, kwani kila moja
hudai kuwa nyingine zote si sahihi. Sasa katika hali hiyo, yule
anayetafuta ukweli vipi ataweza kuchagua njia iliyosahihi?
Mwenyezi Mungu ametupa sote akili na uwezo wa kutuwezesha
kufanya maamuzi sahihi na ya maana. Nayo ni maamuzi muhimu sana
katika maisha ya mwanadamu. Mustakabali wake unautegemea uamuzi huo,
kufuatana na hilo, kila mmoja wetu lazima achunguze ushahidi
uliotolewa bila kupendelea ndipo achague kile kinachoonekana kuwa
ni sahihi mpaka pale ushahidi mwingine utakapotokea.
Kama ilivyo kwa kila dini au falsafa, Uislamu nao unadai kuwa huo
ndio njia ya pekee iliyo sahihi kuelekea kwa Mwenyezi Mungu.
Katika hali hiyo ya Uislamu kudai kuwa ni njia sahihi si tofauti na
mifumo mingine. Kijitabu hiki kinakusudia kukupa ushahidi juu ya
ukweli wa dai hilo. Hata hivyo, mara zote ni lazima izingatiwe
kwamba, mtu anaweza kuipata njia ya kweli kwa kuweka kando hisia
na chuki, vitu ambavyo mara kwa mara hutupofua tusiuone ukweli.
Kisha, baada ya kufanya hivyo tu, ndipo tutakapoweza kutumia akili
zetu tulizopewa na Mwenyezi Mungu kufanya maamuzi ya kiakili na
yaliyo sahihi?
Kuna hoja mbali mbali ambazo zinaweza kutolewa ili kulipa nguvu
dai la Kiislamu kuwa ndio dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu.

نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu
أبو أمينة بلال فيليبس
أبو أمينة بلال فيليبس
Abu Ameenah Bilal Philips
❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo ❝ ❞ THE QURAN S NUMERICAL MIRACLE HOAX OR HERESY ❝ ❞ Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu ❝ ❞ The Fundamental Principles of Qur’aanic Interpretation ❝ ❞ Usool At Tafseer ❝ ❞ Islamic Studies Book 1 ❝ ❞ Die Kategorien des Islamischen Monotheismus Tauhid ❝ ❞ THE CHENNAI TREATISE ON ANNUAL PAYMENT OF ZAKAAH ❝ ❞ Fiqh of Fasting ❝ الناشرين : ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ دار نشر الاسلامية الدولية ❝ ❱.

كتب اخرى في كتب إسلامية باللغة السواحلية

MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA PDF

قراءة و تحميل كتاب MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA PDF مجانا

Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu PDF

قراءة و تحميل كتاب Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu PDF مجانا

Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki PDF

قراءة و تحميل كتاب Maswali YaliyowaongozaVijana wa Kishia Kuingia Katika Haki PDF مجانا

TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR rsquo ANI TUKUFU PDF

قراءة و تحميل كتاب TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR rsquo ANI TUKUFU PDF مجانا

المزيد من كتب علوم القرآن في مكتبة كتب علوم القرآن , المزيد من كتب إسلامية متنوعة في مكتبة كتب إسلامية متنوعة , المزيد من إسلامية متنوعة في مكتبة إسلامية متنوعة , المزيد من كتب الفقه العام في مكتبة كتب الفقه العام , المزيد من كتب التوحيد والعقيدة في مكتبة كتب التوحيد والعقيدة , المزيد من مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف في مكتبة مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف , المزيد من كتب أصول الفقه وقواعده في مكتبة كتب أصول الفقه وقواعده , المزيد من التراجم والأعلام في مكتبة التراجم والأعلام , المزيد من السنة النبوية الشريفة في مكتبة السنة النبوية الشريفة
عرض كل كتب إسلامية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..