كتاب Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristoالمكتبة التجريبية

كتاب Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo

esu Kristo anawakilisha akiwa ni kiungo cha kuunganisha baina ya dini mbili zenye wafuasi wengi zaidi duniani leo hii; Ukristo na Uislamu. Somo lifuatalo, linalohusu Ujumbe wa Yesu na Haiba yake limeegemea katika kiungo hicho. Inatarajiwa kuwa, kwa kupitia somo hili, wote wawili; Waislamu na Wakristo watafahamu vizuri ukuu wa Yesu na umuhimu wa ujumbe wake. Hata hivyo, ili tuutambulishe barabara ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo, mtazamo usio na upendeleo ulibidi udumishwe katika kipindi cha kufanya uchunguzi wetu. Hisia zetu zisiruhusiwe kuweka kiwingu kwenye uoni wetu na kwa hiyo, kutupofua tusiuone ukweli. Lazima tuyatazame masuala mazima kimantiki na tuutenganishe ukweli uepukane na uongo kwa msaada wa Mungu Mwenye nguvu. Tukiangalia dini za uongo na imani mbalimbali za upotovu duniani, na moyo wa kuzipenda unaowafanya wafuasi zake waziunge mkono imani hizo, inaonesha ushahidi madhubuti kuwa watu hao hawawezi kuugundua ukweli kwa sababu ya upofu wa misimamo yao juu ya imani zao. Ufuasi wao king`ang`anizi, kwa kawaida hauegemei ufahamu wa kiakili juu ya mafundisho, bali unategemea utamaduni wenye nguvu na vishawishi vya kihisia. Kwa kuwa walilelewa katika familia au jamii maalum, wao wanashikamana madhubuti na imani ya jamii hizo, wakiamini kuwa, wanauunga mkono ukweli. Njia pekee inayoweza kuufikia ukweli juu ya kitu chochote kile ni kukijongelea kitu hicho kupitia mfumo maalamu na kwa kutumia akili. Kwanza, tuupime ushahidi kisha tunauhukumu kwa akili alizotupa Mungu. Katika ulimwengu wa maada, kimsingi ni akili ndizo zinazowapambanua wanadamu na wanyama, akili ifanyayokazi vizuri katika silika (maumbile) yake. Baada ya kuubainisha ukweli bila kupendelea, hapo ndipo tujibebeshe majukumu ya ukweli huo kihisia. Ndio, kuna nafasi ya kuwa na msimamo wa kihisia, lakini msimamo wa kihisia lazima uje baada ya ufahamu wa kiakili juu ya kadhia husika, kisha ndipo mtu ajiandae kiakili na kiroho kuutetea ukweli huo kwa juhudi.
أبو أمينة بلال فيليبس - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo ❝ ❞ THE QURAN S NUMERICAL MIRACLE HOAX OR HERESY ❝ ❞ Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu ❝ ❞ The Fundamental Principles of Qur’aanic Interpretation ❝ ❞ Usool At Tafseer ❝ ❞ Islamic Studies Book 1 ❝ ❞ Die Kategorien des Islamischen Monotheismus Tauhid ❝ ❞ THE CHENNAI TREATISE ON ANNUAL PAYMENT OF ZAKAAH ❝ ❞ Fiqh of Fasting ❝ الناشرين : ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ دار نشر الاسلامية الدولية ❝ ❱
من مقارنة الأديان فرق ومذاهب وأفكار وردود - مكتبة المكتبة التجريبية.

وصف الكتاب :
esu Kristo anawakilisha akiwa ni kiungo cha kuunganisha baina ya
dini mbili zenye wafuasi wengi zaidi duniani leo hii; Ukristo na
Uislamu. Somo lifuatalo, linalohusu Ujumbe wa Yesu na Haiba yake
limeegemea katika kiungo hicho. Inatarajiwa kuwa, kwa kupitia somo
hili, wote wawili; Waislamu na Wakristo watafahamu vizuri ukuu wa
Yesu na umuhimu wa ujumbe wake.
Hata hivyo, ili tuutambulishe barabara ujumbe wa kweli wa Yesu
Kristo, mtazamo usio na upendeleo ulibidi udumishwe katika kipindi cha
kufanya uchunguzi wetu. Hisia zetu zisiruhusiwe kuweka kiwingu
kwenye uoni wetu na kwa hiyo, kutupofua tusiuone ukweli. Lazima
tuyatazame masuala mazima kimantiki na tuutenganishe ukweli uepukane
na uongo kwa msaada wa Mungu Mwenye nguvu.
Tukiangalia dini za uongo na imani mbalimbali za upotovu
duniani, na moyo wa kuzipenda unaowafanya wafuasi zake waziunge
mkono imani hizo, inaonesha ushahidi madhubuti kuwa watu hao
hawawezi kuugundua ukweli kwa sababu ya upofu wa misimamo yao juu
ya imani zao. Ufuasi wao king`ang`anizi, kwa kawaida hauegemei
ufahamu wa kiakili juu ya mafundisho, bali unategemea utamaduni
wenye nguvu na vishawishi vya kihisia. Kwa kuwa walilelewa katika
familia au jamii maalum, wao wanashikamana madhubuti na imani ya
jamii hizo, wakiamini kuwa, wanauunga mkono ukweli.
Njia pekee inayoweza kuufikia ukweli juu ya kitu chochote kile ni
kukijongelea kitu hicho kupitia mfumo maalamu na kwa kutumia akili.
Kwanza, tuupime ushahidi kisha tunauhukumu kwa akili alizotupa
Mungu. Katika ulimwengu wa maada, kimsingi ni akili ndizo
zinazowapambanua wanadamu na wanyama, akili ifanyayokazi vizuri
katika silika (maumbile) yake. Baada ya kuubainisha ukweli bila
kupendelea, hapo ndipo tujibebeshe majukumu ya ukweli huo kihisia.
Ndio, kuna nafasi ya kuwa na msimamo wa kihisia, lakini msimamo wa
kihisia lazima uje baada ya ufahamu wa kiakili juu ya kadhia husika,
kisha ndipo mtu ajiandae kiakili na kiroho kuutetea ukweli huo kwa
juhudi.

للكاتب/المؤلف : أبو أمينة بلال فيليبس .
دار النشر : .
عدد مرات التحميل : 9562 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الأربعاء , 27 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 468.3 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

 . Somo Ukurasa
Utangulizi ................................................................................................................. 5
Sura ya Kwanza: Maandiko Matakatifu........................................................................... 7
Miswada sahihi .......................................................................................................... 8
Matoleo ya Biblia ya Kingereza ..................................................................................... 9
Utunzi..................................................................................................................... 12
Torati ..................................................................................................................... 12
Kubuniwa................................................................................................................ 14
Injili ....................................................................................................................... 14
Kupingana............................................................................................................... 17
Agano la Kale .......................................................................................................... 17
Agano Jipya............................................................................................................. 19
خطأ! الإشارة المرجعية غير معرّفة.............................................................................Quran
Uhakiki wa Maandiko................................................................................................ 22
Kupingana katika Quran ............................................................................................ 23
Sura ya Pili: Yesu Mwanadamu ................................................................................... 27
Mtume .................................................................................................................... 27
Mtu ........................................................................................................................ 27
Dhana sahihi ........................................................................................................... 29
Miujiza ................................................................................................................... 30
“Ushahidi” wa Uungu wa Yesu ................................................................................... 32
1. Mwanzo na Mwisho ............................................................................................... 32
2. Maisha ya kabla ya Kristo....................................................................................... 32
3. Mwana wa Mungu ................................................................................................. 33
4. Pamoja na Mungu ................................................................................................. 36
5. Amekubali kusujudiwa............................................................................................ 37
6. "Hapo mwanzo kulikuwa na Neno" ........................................................................... 38
Mawazo ya kale........................................................................................................ 40
Mawazo ya kisasa ..................................................................................................... 43
Sura ya Tatu: Ujumbe................................................................................................ 45
Utiifu...................................................................................................................... 45
Taurati (Torati) ........................................................................................................ 45
Upwekesahaji........................................................................................................... 47
Mwislamu sio “Mmuhammadi” ................................................................................... 49
Masanamu............................................................................................................... 50
Utabiri.................................................................................................................... 51
Sura ya Nne: Njia ..................................................................................................... 54
Njia ya Yesu............................................................................................................. 55
Kutahiri .................................................................................................................. 55
Nguruwe ................................................................................................................. 56
Damu ..................................................................................................................... 57
Kilevi (pombe).......................................................................................................... 58
Udhu kabla ya Kusali ................................................................................................ 59
Kusujudi katika Sala.................................................................................................. 59
Hijabu .................................................................................................................... 60
Salamu.................................................................................................................... 61
Zaka....................................................................................................................... 62
Kufunga .................................................................................................................. 63
Riba ....................................................................................................................... 63
Mitala (wake wengi).................................................................................................. 64
Hitimisho ................................................................................................................ 66
Kurudi kwa Yesu....................................................................................................... 67
Bibliografia ............................................................................................................. 69


esu Kristo anawakilisha akiwa ni kiungo cha kuunganisha baina ya
dini mbili zenye wafuasi wengi zaidi duniani leo hii; Ukristo na
Uislamu. Somo lifuatalo, linalohusu Ujumbe wa Yesu na Haiba yake
limeegemea katika kiungo hicho. Inatarajiwa kuwa, kwa kupitia somo
hili, wote wawili; Waislamu na Wakristo watafahamu vizuri ukuu wa
Yesu na umuhimu wa ujumbe wake.
Hata hivyo, ili tuutambulishe barabara ujumbe wa kweli wa Yesu
Kristo, mtazamo usio na upendeleo ulibidi udumishwe katika kipindi cha
kufanya uchunguzi wetu. Hisia zetu zisiruhusiwe kuweka kiwingu
kwenye uoni wetu na kwa hiyo, kutupofua tusiuone ukweli. Lazima
tuyatazame masuala mazima kimantiki na tuutenganishe ukweli uepukane
na uongo kwa msaada wa Mungu Mwenye nguvu.
Tukiangalia dini za uongo na imani mbalimbali za upotovu
duniani, na moyo wa kuzipenda unaowafanya wafuasi zake waziunge
mkono imani hizo, inaonesha ushahidi madhubuti kuwa watu hao
hawawezi kuugundua ukweli kwa sababu ya upofu wa misimamo yao juu
ya imani zao. Ufuasi wao king`ang`anizi, kwa kawaida hauegemei
ufahamu wa kiakili juu ya mafundisho, bali unategemea utamaduni
wenye nguvu na vishawishi vya kihisia. Kwa kuwa walilelewa katika
familia au jamii maalum, wao wanashikamana madhubuti na imani ya
jamii hizo, wakiamini kuwa, wanauunga mkono ukweli.
Njia pekee inayoweza kuufikia ukweli juu ya kitu chochote kile ni
kukijongelea kitu hicho kupitia mfumo maalamu na kwa kutumia akili.
Kwanza, tuupime ushahidi kisha tunauhukumu kwa akili alizotupa
Mungu. Katika ulimwengu wa maada, kimsingi ni akili ndizo
zinazowapambanua wanadamu na wanyama, akili ifanyayokazi vizuri
katika silika (maumbile) yake. Baada ya kuubainisha ukweli bila
kupendelea, hapo ndipo tujibebeshe majukumu ya ukweli huo kihisia.
Ndio, kuna nafasi ya kuwa na msimamo wa kihisia, lakini msimamo wa
kihisia lazima uje baada ya ufahamu wa kiakili juu ya kadhia husika,
kisha ndipo mtu ajiandae kiakili na kiroho kuutetea ukweli huo kwa
juhudi.

 



نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo
أبو أمينة بلال فيليبس
أبو أمينة بلال فيليبس
Abu Ameenah Bilal Philips
❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo ❝ ❞ THE QURAN S NUMERICAL MIRACLE HOAX OR HERESY ❝ ❞ Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu ❝ ❞ The Fundamental Principles of Qur’aanic Interpretation ❝ ❞ Usool At Tafseer ❝ ❞ Islamic Studies Book 1 ❝ ❞ Die Kategorien des Islamischen Monotheismus Tauhid ❝ ❞ THE CHENNAI TREATISE ON ANNUAL PAYMENT OF ZAKAAH ❝ ❞ Fiqh of Fasting ❝ الناشرين : ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ دار نشر الاسلامية الدولية ❝ ❱.



كتب اخرى في مقارنة الأديان

THE QUR' AN DIVINE REVELATION OR FORGERY PDF

قراءة و تحميل كتاب THE QUR' AN DIVINE REVELATION OR FORGERY PDF مجانا

Variant Readings of the Dead Sea Psalms Scrolls against the Massoretic Text and the Septuagint Psalter PDF

قراءة و تحميل كتاب Variant Readings of the Dead Sea Psalms Scrolls against the Massoretic Text and the Septuagint Psalter PDF مجانا

الحجاب لماذا The Hijab Why PDF

قراءة و تحميل كتاب الحجاب لماذا The Hijab Why PDF مجانا

PROPHET SOLOMON PBUH PDF

قراءة و تحميل كتاب PROPHET SOLOMON PBUH PDF مجانا

The Three Abrahamic Faiths and Their Roles in Making Peace Unity and Co Existence PDF

قراءة و تحميل كتاب The Three Abrahamic Faiths and Their Roles in Making Peace Unity and Co Existence PDF مجانا

Body Count a quantitative review of political violence across world civilizations PDF

قراءة و تحميل كتاب Body Count a quantitative review of political violence across world civilizations PDF مجانا

wine in the biblical study on the use of alcoholic beverages PDF

قراءة و تحميل كتاب wine in the biblical study on the use of alcoholic beverages PDF مجانا

The Al sbin The Sabians An Overview from the Quranic Commentators Theologians and Jurists PDF

قراءة و تحميل كتاب The Al sbin The Sabians An Overview from the Quranic Commentators Theologians and Jurists PDF مجانا

المزيد من الفكر والفلسفة في مكتبة الفكر والفلسفة , المزيد من النجاح وتطوير الذات في مكتبة النجاح وتطوير الذات , المزيد من مقارنة الأديان في مكتبة مقارنة الأديان , المزيد من السياسة في مكتبة السياسة , المزيد من علم النفس في مكتبة علم النفس , المزيد من الهندسة الشاملة في مكتبة الهندسة الشاملة , المزيد من محمد صلى الله عليه وسلم في مكتبة محمد صلى الله عليه وسلم , المزيد من أوراق المؤتمرات والملتقيات العلمية في مكتبة أوراق المؤتمرات والملتقيات العلمية , المزيد من غير مصنفة في مكتبة غير مصنفة
عرض كل المكتبة التجريبية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..